Skip to main content

Kuandikia Wazazi Barua kwa Kutumia LibreOffice Writer

Enrollment is Closed

Kuhusu kozi hii

Kuunda Onyesho ili Kufunza Mada kwa Kutumia LibreOffice Impress ni sehemu ya mfululizo wa kozi ndogo za mbinu za ICT za Camara. Kozi hii itawawezesha walimu kutumia LibreOffice Impress kwa ajili za kufunza na kusoma.

Kila kozi ndogo imeundwa ili kuchukua takriban muda wa masaa mawili ili kumalizika.Unaweza kuanza na kusitisha kozi ndogo muda wowote ule unaotaka huku ikikuruhusu kumaliza baadhi ya shughuli unapopata muda badaye.

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Je, ni kivinjari kipi cha tovuti ninachofaa kutumia?

Kuandika barua kwa wazazi kwa kutumia LibreOffice Writer ni sehemu ya mfululizo wa kozi ndogo za Mbinu za ICT za Camara. Kozi hii itawawezesha walimu kutumia LibreOffice Writer kuandika barua na stakabadhi nyingine muhimu ili kuwasiliana na kwa shughuli yoyote ya kufunza na kusoma.

Tazama orodha yetu ya vivinjari vinavyokubalika kwa ajili ya ujumbe zaidi.

  1. Course Number

    CAM-003-TZ
  2. Classes Start

  3. Classes End