Skip to main content

Kuunda Ripoti za Matokeo Ya Darasa Lako Kwa Kutumia LibreOffice Calc

Enrollment is Closed

Kuhusu kozi hii

Kozi hii itawawezesha walimu kutumia LibreOffice Calc ili kutayarisha ripoti za matokeo.

Kila kozi ndogo imeundwa ili kuchukua takriban muda wa masaa mawili ili kumalizika. Unaweza kuanza na kusitisha kozi ndogo muda wowote ule unaotaka huku ikikuruhusu kumaliza baadhi ya shughuli unapopata muda badaye.

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Je, ni kivinjari kipi cha tovuti ninachofaa kutumia?

Jukwaa la “Open edX” hufanya kazi bora zaidi na toleo la sasa la “Chrome”, “Firefox” au ‘Safari”, au na “Internet Explorer” tolea la 9 kuendelea.

Tazama orodha yetu ya vivinjari vinavyokubalika kwa ajili ya ujumbe zaidi.

  1. Course Number

    CAM-01-TZ
  2. Classes Start

  3. Classes End