Skip to main content

Kuunda Onyesho Ili Kufunza Mada Kwa Kutumia LibreOffice Impress

Enrollment is Closed

Kuhusu kozi hii

Kuunda Onyesho ili Kufunza Mada kwa Kutumia LibreOffice Impress ni sehemu ya mfululizo wa kozi ndogo za mbinu za ICT za Camara. Kozi hii itawawezesha walimu kutumia LibreOffice Impress kwa ajili za kufunza na kusoma.

Kila kozi ndogo imeundwa ili kuchukua takriban muda wa masaa mawili ili kumalizika.Unaweza kuanza na kusitisha kozi ndogo muda wowote ule unaotaka huku ikikuruhusu kumaliza baadhi ya shughuli unapopata muda badaye.

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Je, ni kivinjari kipi cha tovuti ninachofaa kutumia?

Jukwaa la “Open edX” hufanya kazi bora zaidi na toleo la sasa la “Chrome”, “Firefox” au ‘Safari”, au na “Internet Explorer” tolea la 9 kuendelea.

Tazama orodha yetu ya vivinjari vinavyokubalika kwa ajili ya ujumbe zaidi.

  1. Course Number

    CAM-02-TZ
  2. Classes Start

  3. Classes End