Skip to main content

Kutumia Intaneti ili Kufanya Utafiti wa Mada ya Kufunza

Enrollment is Closed

Kuhusu kozi hii

Kutumia Intaneti ili Kufanya Utafiti wa Mada ya Kufunza ni sehemu ya mfululizo wa kozi ndogo za Mbinu za ICT za Camara. Kozi hii itawasaidia walimu kufanya utafiti wa ujumbe kwenye Intaneti ili kutayarisha shughuli husika za kufunza na kusoma kwa wanafunzi wao.

Kila kozi ndogo imeundwa ili kuchukua takriban muda wa masaa mawili ili kumalizika.Unaweza kuanza na kusitisha kozi ndogo muda wowote ule unaotaka huku ikikuruhusu kumaliza baadhi ya shughuli unapopata muda badaye.

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Je, ni kivinjari kipi cha tovuti ninachofaa kutumia?

Jukwaa la “Open edX” hufanya kazi bora zaidi na toleo la sasa la “Chrome”, “Firefox” au ‘Safari”, au na “Internet Explorer” tolea la 9 kuendelea.

Tazama orodha yetu ya vivinjari vinavyokubalika kwa ajili ya ujumbe zaidi.

  1. Course Number

    CAM-05-TZ
  2. Classes Start

  3. Classes End