Skip to main content

Misingi ya Kuhifadhi, Kutatua na Kutunza

Enrollment is Closed

Kuhusu kozi hii

Misingi ya kuhifadhi, kutatua na kutunza ni sehemu ya mfululizo wa kozi ndogo za Mbinu ya ICT za Camara. Kozi hii itawawezesha walimu kuzuia uharibifu, kutatua shida ndogo na kupanga utunzaji wa kompyuta.

Kila kozi ndogo imeundwa ili kuchukua takriban muda wa masaa mawili ili kumalizika. Unaweza kuanza na kusitisha kozi ndogo muda wowote ule unaotaka huku ikikuruhusu kumaliza baadhi ya shughuli unapopata muda badaye.

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Je, ni kivinjari kipi cha tovuti ninachofaa kutumia?

Jukwaa la “Open edX” hufanya kazi bora zaidi na toleo la sasa la “Chrome”, “Firefox” au ‘Safari”, au na “Internet Explorer” tolea la 9 kuendelea.

Tazama orodha yetu ya vivinjari vinavyokubalika kwa ajili ya ujumbe zaidi.

  1. Course Number

    CAM-06-TZ
  2. Classes Start

  3. Classes End