Skip to main content

Uongozi na Mabadiliko kwa Utekelezaji wa ICT Shuleni

Enrollment is Closed

Kuhusu kozi hii

Uongozi na Mabadiliko kwa Utekelezaji wa ICT Shuleni ni sehemu ya mfululizo wa kozi ndogo za Mbinu za ICT za Camara. Kozi hii itawawezesha walimu na viongozi kukuza ujuzi wa uongozi, kufahamu mabadiliko yanayolingana na ushirikiano wa ICT shuleni na kukuza mpango wa ICT kwa ajili ya ushirikiano mzuri.

Kila kozi ndogo imeundwa ili kuchukua takriban muda wa masaa mawili ili kumalizika.Unaweza kuanza na kusitisha kozi ndogo muda wowote ule unaotaka huku ikikuruhusu kumaliza baadhi ya shughuli unapopata muda badaye.

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Je, ni kivinjari kipi cha tovuti ninachofaa kutumia?

Jukwaa la “Open edX” hufanya kazi bora zaidi na toleo la sasa la “Chrome”, “Firefox” au ‘Safari”, au na “Internet Explorer” tolea la 9 kuendelea.

Tazama orodha yetu ya vivinjari vinavyokubalika kwa ajili ya ujumbe zaidi.

  1. Course Number

    CAM-07-TZ
  2. Classes Start

  3. Classes End