Skip to main content

Kutumia Rasilimali za Elimu Wazi za Digitali kwa ajili ya Kufunza

Enrollment is Closed

Kuhusu kozi hii

Kutumia Rasilimali za Elimu Wazi za Digitali kwa ajili ya Kufunza ni sehemu ya mfululizo wa kozi ndogo za Mbinu za ICT za Camara. Kozi hii itawasaidia walimu kufanya utafiti na kutumia Rasilimali za Elimu Wazi husika kwa shughuli za kufunza na kusoma.

Kila kozi ndogo imeundwa ili kuchukua takriban muda wa masaa mawili ili kumalizika. Unaweza kuanza na kusitisha kozi ndogo muda wowote ule unaotaka huku ikikuruhusu kumaliza baadhi ya shughuli unapopata muda badaye.

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Je, ni kivinjari kipi cha tovuti ninachofaa kutumia?

Jukwaa la “Open edX” hufanya kazi bora zaidi na toleo la sasa la “Chrome”, “Firefox” au ‘Safari”, au na “Internet Explorer” tolea la 9 kuendelea.

Tazama orodha yetu ya vivinjari vinavyokubalika kwa ajili ya ujumbe zaidi.

  1. Course Number

    CAM-08-TZ
  2. Classes Start

  3. Classes End