Skip to main content

Kutumia Vifaa vya Digitali kwa ajili ya Kuunda, Kushirikisha na Kutathmini Maudhui

Enrollment is Closed

Kuhusu kozi hii

Kutumia Vifaa vya Digitali kwa ajili ya Kuunda, Kushirikisha na Kutathmini Maudhui ni sehemu ya mfululizo wa kozi ndogo za Mbinu za ICT za Camara. Kozi hii itawawezesha walimu kutumia vifaa vya digitali ili kukuza shughuli za kufunza na kusoma.

Kila kozi ndogo imeundwa ili kuchukua takriban muda wa masaa mawili ili kumalizika.Unaweza kuanza na kusitisha kozi ndogo muda wowote ule unaotaka huku ikikuruhusu kumaliza baadhi ya shughuli unapopata muda badaye.

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Je, ni kivinjari kipi cha tovuti ninachofaa kutumia?

Kuandika barua kwa wazazi kwa kutumia LibreOffice Writer ni sehemu ya mfululizo wa kozi ndogo za Mbinu za ICT za Camara. Kozi hii itawawezesha walimu kutumia LibreOffice Writer kuandika barua na stakabadhi nyingine muhimu ili kuwasiliana na kwa shughuli yoyote ya kufunza na kusoma.

Tazama orodha yetu ya vivinjari vinavyokubalika kwa ajili ya ujumbe zaidi.

  1. Course Number

    CAM-10-TZ
  2. Classes Start

  3. Classes End